Huu Hapa Ujumbe Wa J Moe Baada Ya Fainali Ya Afcon 2017 Kumalizika

Kwa mfuatiliaji wa Sports utakua unajua kuwa February 5 umechezwa mchezo wa fainali ya mataifa ya Afrika maarufu kama AFCON 2017,   fainali hiyo ilizikutanisha timu ya Misri pamoja na  Cameroon na mpaka refa anapuliza filimbi ya mwisho Cameroon walifanikiwa kushinda 2-1 dhidi ya Misri.

 Mmoja kati ya Malegend wa muziki wa Hiphop Tanzania Jaymoe nae katoa maoni yake baada ya kuutazama mpira huu toka mwanzo mpaka fainali yake ilipotimia, leo katika post yake ameandika..

 "Kuanzia Mechi ya Kwanza Nilijua Cameroun Hawataniangusha Mwaka Huu…Im So Proud To See Them Comin From Behind And Winning The Cup Against The Egypt..#Aboubakar Warabu Wanakuona Ujue 😂😂😂 New Champions Of Africa #AFCON2017Gabon #WellDeserveIt #ProudlyAfrican #SoccerJunky"
Powered by Blogger.