Huu Hapa Ujumbe Wa Afande Sele Kuhusu Suala La Dawa Za Kulevya DarKama umekua mfatiliaji wa taarifa mbalimbali za habari kwa siku mbili mfululizo kumekua na suala la Dawa za kulevya ambalo Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Mh Paul Makonda ameita na kuanza kuwahoji baadhi ya mastaa wakubwa Tanzania ambao wanahusishwa na suala hilo.

Kati ya wasanii hao akiwemo Wema Sepetu, Tid, Nyandu Tozi, Mr blue, Vanessa Mdee na Mtangazaji wa Clouds TV Babuu wa Kitaa na wengine baadhi.

 Sasa leo Jan 3, Afande kaamua kufunguka juu ya sakata hilo. Kupitia kurasa zake za Instagram na Facebook, Aliweza kuandika ujumbe huu..


"Katika hili sakata la MAPAPA na MAPUNDA ya Unga kama kweli braza Paul yupo serious na sio ‘Matango Pori’kama tulivyoona ktk masakata mengine,huenda hata wale WASAFI wakaonekana wachafu…kila la kheri Mr Paul….RiP Da Amina…wacha parry ianzeee….."
Powered by Blogger.