Huenda Blac Chyna Akapotezwa Kwenye Game Kama Prodyuza Wake Hatawajibika Kwa Hili


Mtandao wa TMZ umeripoti ishu ya kushitakiwa au kupotezwa kwenye ramani  mwandada Blac Chyna, 

Jason Alston and Lincoln Hayes wa  Infinite Grind Multimedi ndio wanaotajwa kuhusika na mchezo huo, unaweza kujiuliza mi kina nani hao?, Kwa muujibu wa taarifa zilizoifikia TMZ  hawa ni watu waliopo nyuma ya mafanikio yake (Blac Chyna), Yaani jamaa aliokua akifanya nao kazi kama Mameneja wake,


Inasemekana jamaa wameiandikia barua kampuni inayoandaa show ya "Rob & Chyna" kuihusisha na ishu hiyo ,

Chyna ameenda nje ya makubalianoyao ambayo walikubaliana mwaka 2007, mkataba umekwisha na lakini Chyna ana deni na washikaji ambalo linakaribia  dola milioni 3 na kitu cha kushangaza utajiri wa Chyna unatajwa kuwadola milioni 3 kwa rekodi ya mwaka 2016.

Kwa mantiki hiyo basi Blac Chyna akiatakiwa kuwalipa washikaji atakua ametoa utajiri wake wote na kubaki akiwa hana chochote, Atakubali kuanza upya?, Kuna ukweli hapa au ndio zile Drama alizoadopt kwenye familia ya "The Kardashians"?


Alikiba Na Live Band Waacha Historia Tanga:

Powered by Blogger.