Baada Ya Kuiachia "Future" Wiki Iliyopita Hii Hapa "HNDRXX" Kutoka Kwa Future


Wiki iliyopita mnyamwezi Future aliiweka sokoni albamu yake yenye jina lake "FUTURE" na mapema leo kupitia mtandao wa "Spotify" kumeonekana kuingizwa albamu yake mpya inayoitwa "HNDRXX"
Albamu hiyo yenye jumla ya nyimbo 17 Future amekamua ngoma 15 peke yake huku nyimbo 2 pekee Future ametoa mashavu kwa Rihanna na TheWeekend.

Tracklist Nimekuwekea Hapa:

1. “My Collection”
2. “Comin Out Strong” Feat. The Weeknd
3. “Lookin Exotic”
4. “Damage”
5. “Use Me”
6. “Incredible”
7. “Testify”
8. “Fresh Air”
9. “Neva Missa Lost”
10. “Keep Quiet”
11. “Hallucinating”
12. “I Thank U”
13. “New Illuminati”
14. “Turn on Me”
15. “Selfish” Feat. Rihanna
16. “Solo”
17. “Sorry”
Kwa Watumiaji Wa Spotify Mzigo Unapatikana Hapa:
Powered by Blogger.