Hatimae Cameroon Yatinga Fainali za AFCON 2017.
Hatimae Timu ya Taifa ya cameroon imetinga Fainali kwa kuifunga Timu ya Taifa Ghana.
Katika mtanange huo uliotawaliwa na ubabe katika kipindi cha kwanza nakusababisha kwenda mapumziko timu zote zikiwa hamna aliyegusa nyavu za mwenzake kunako kipindi cha pili dakika ya 72 cameroon walianza kuzigusa nyavu za ghana kwa kupitia mchezaji wake Michael Ngadeu na kuwa mbele yao kwa goli moja kuelekea mwisho wa mchezo kwenye dakika za nyongeza camerooon haohao wakaigongea msumari wa pili na wa mwisho kutoka kwa mchezaji wake Christian Bassogog  kwa magoli hayo mawili yaliyopelekea Timu ya Taifa Ghana kutoka uwanjani vichwa chini. huku kwa upande wa cameroon wakitoka uwanjani vifua mbele kwa furaha...
Powered by Blogger.