The Fate Of The Furious (Fast & Furious 8) Inaingia Sokoni Tarehe Hii, Cheki Trailer Hapa:


Ni mkali wa ufuatiliaji wa series na movies za kibabe?, Fast & Furious bila shaka itakuwa kwenye orodha yako?,

Utakua ulisubiri sana kuuona muendelezo wa filamu  hiyo?,  basi usichoke tarehe 14th, April mwaka huu ndio siku rasmi ambayo mzigo utakua machoni mwako huku kukiwa na mabadiliko na action za kutosha:


CHEKI NA HII TRAILER HAPA:

Powered by Blogger.