Unamuelewa Kiss Daniel?, Basi Hii Duro Isikupite


Baada ya ukimya wa miezi kadhaa tangu kuachia video ya hitsong "Mama" Mnigeria Kiss Daniel ameachia video ya ngoma "Duro" ambayo inapatikana kwenye Albamu yake "New Era" iliyoingia sokoni mwaka jana.

Ngoma fulani hivi Romantic kwa mwezi huu wa malavidavi sio ya kuikosa hii.. Enjoy nayo Hapa:DOWNLOAD VIDEO  


 DOWNLOAD AUDIO
Powered by Blogger.