Rapa Drake Aziweka Wazi Hisia Zake Kwa Rais Huyu Wa Marekani

Aubrey Drake Graham "Drake" kwa hisi kabisa anaonesha tayari anaanza kumkumbuka aliyekuwa Rais wa 44 wa marekani Barrack Obama aliyemaliza muda wake mapema mwaka huu na kumuachia Rais Donald Trump.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Rapa Drake amepost picha iliyosainiwa na Barack Obama ikiwaonyesha wawili hao na watu wao wa karibu wakiwa Ikulu ya Marekani (White House)


"Got off stage and saw this in my email 🙌🏽 Hope you are somewhere at peace with the family. We miss ya g" Ameandika Drake.

Kwenye picha nyingine ambayo imepostiwa na shabiki wa Drake inaonekana Drake na Barrack Obama wakiwa kwenye mazungumzo.
 

Sahau Kuhusu Meek Mill, Drake Na Nicki Minaj Wanakuja Kivingine:

 

Powered by Blogger.