Cheki Kitu Jay Z Amefanya Kwa Big Sean


Leo Februari 3 Rapa Big Sean ameachia "I Decided" albamu ambayo inazifanya idadi ya Albamu za rapa huyo kufikia 4.

mastaa mbali mbali wamemtumia salamu za pongezi, Moja kati ya mastaa walioguswa na Albamu hiyo ni Rapa "Jay Z".

Kupitia ukurasa wake wa instagram Big Sean amepost picha akionekana kung'aa na cheni yenye Logo "Roc A Fella"

Haikua picha tupu, Big Sean aliiongezea maneno yaliyoashiria kuipokea cheni hiyo kutoka  kwa Big Boss wa Roc Nation "Jay Z"

"Hov just gave this to me! Told me I earned it! #IDecided." Aliandika Big Sean.

Big Sean anaungana na Kanye West kwenye orodha ya wanamuziki ambao wamewahi kuzawadiwa cheni za "Roc A Fella"

Cheki Hii Ya Kanye Alivyokabidhiwa cheni yake. 

 
Powered by Blogger.