Chance the Rapper Kuanza Tour Baada Ya Kushinda Grammy 3

 
Baada ya kushinda tuzo tatu za Grammy rapper Chance the rapper ametangaza kuanza Tour aliyoipa jina la “CHANCE SPRING TOUR” Chance aliyeshinda tuzo tatu za grammy amesema kuwa tour hiyo itakuwa maalumu kwa ajili ya kushukuru watu.

Rapper huyo ambaye ni mwenyeji wa Chicago ameeleza kuwa tour hiyo anayopanga kuianza mwezi wan ne itakuwa malumu kwa mashabiki wake ambao wamempa ushindi wa tuzo hizo tatu za kwanza katika maisha yake ya muziki.

 
Powered by Blogger.