Belle 9 na Adekunle Gold ndani ya collabo ya pamoja

 
Msanii wa Nigeria, Adekunle Gold na Belle 9 wamerekodi wimbo wa pamoja.

Staa huyo wa label ya YBNL inayomilikiwa na Olamide, ameiambia Bongo5 kuwa Belle 9 alikuwa msanii wa kwanza aliyekutana naye na wamerekodi wimbo uitwao Tutafutane.

“He is an amazing guy,” amemuelezea Belle. “And we did some magical already in the studio we didn’t plan it, we were just chilling in the studio and we did ‘Tutafutane.’”

Amesema yeye ni shabiki mkubwa wa Alikiba na angependa kufanya naye kazi bila kumsahau Diamond, Vanessa Mdee na Nandy. Ameongeza kuwa amefurahi kuja Tanzania na kile ambacho alichokipenda zaidi ni kuona watu wanajivunia lugha ya Kiswahili.

credit: Bongo5

Powered by Blogger.