ARSENAL YAJIPOZA HUKU BAADA YA KUTOKA UJERUMANI


Klabu ya Arsenal kutoka jijini london wamepata tulizo la majonzi baada ya kushinda jana usiku katika FA Cup.

Washika bunduki hao wa jijini London usiku wa jana walipata tulizo la moyo baada ya kupata ushindi wa goli mbili kwa bila mbele ya klabu ya Sutton United magoli ya Arsenal yakitupiwa nyavuni na washambuliaji Lucas Perez 26" na Nahodha wa siku hiyo yani Theo Walcott 55" na kusonga mbele kwenye hatua ya robo Fainali.
 Tulizo hilo linatokana baada ya kupingwa kipigo kikali kutoka kwa Wajerumani wa Bundersliga yaani Bayern Munich kwa kipigo cha tano kwa moja.


Powered by Blogger.