Aikah Na Nahreel Kuipeleka AIM Duniani


Kundi la Muziki "Navykenzo" linaloundwa na wapenzi Aikah Mareale na Nahreel Mkono wamekua wanamuziki peke yake kutoka bongo kuingiza Albamu ambayo imefanikiwa kufanya vizuri katika kipindi cha mwaka jana na bado inaendelea kufanya poa.

Wakati albamu hiyo yenye jumla ya ngoma 11 ikiendelea kubamba nchini waimbaji wake yaani "Navykenzo" wametangaza ujio wa Tour ya kuitangaza Albamu yao. ziara hiyo inatarajiwa kuanza tarehe 16 mwezi huu.

Goodnews ni kwamba ziara hiyo haitakua Tanzania wala Afrika peke yake, Navykenzo wamethibitisha kuipeleka "AIM" duniani na kwa kuanza wataanzia nchini Israel:

Umeshajipatia Nakala Yako Ya "AIM"? Kama Bado Bonyeza Hapa Kuisikiliza.
Powered by Blogger.