18+ Hii Video Ya Ariana Grande Na Future Ni Hatari Kwa Afya Yako.Kutoka kwenye Albamu yake "Dangerous Woman" mwanadada Ariana Grande ameachia video ya wimbo wake "Everyday" ambao kwenye kolabo amehusika rapa "Future", Ariana Grande mwenye Followers zaidi ya milioni 98 kwenye Instagaram tayari ameshafikisha views zaidi ya milioni moja ndani ya masaa 11.Kwa upande wake Rappa Future kama vile nyota yake imezidi kushine sana kwa kipindi hiki kutokana na mfululizo wa utoaji wa ngoma zake,Kolabo na album mbili ndani ya mwezi mmoja.
Wiki Iliyopita rapa huyo ameachia Albamu aliyoiita "HNDRX" ikiwa ni wiki 2 zimepita tangu alipoachia albamu nyingine iliyokua na jina lake yaani  "Future"
 Kwa sasa ngoma ya Future inayofanya poa zaidi ni "DRACO" Icheki hapa chini.

Powered by Blogger.