Ziara ya Rais wa Uturuki RECEP TAYYIP ERDOGAN nchini.

Rais wa Uturuki RECEP TAYYIP ERDOGAN akiwa ameambatana na mke wake mama Emine Erdogan akiwa anawasili nchini Tanzania katika uwanja wa kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere jijini Dar es salaam na atakuwa na ziara ya zipatazo siku mbiliRais wa Uturuki mhe. RECEP TAYYIP ERDOGAN akiwa amepokelewa na Waziri mkuu Mhe. KASSIM MAJALIWA

Post a Comment
Powered by Blogger.