Usichokijua Kuhusu Vanessa Mdee Na Jihan Dimack

Kitu ambacho kimekua adimu ni kuwaona wasanii au watu maarufu wanaowakilisha Industry tofautitofauti kuonekana kushirikiana au kuwa pamoja kwenye baadhi ya mishemishe zao.

Vanessa Mdee ni miongoni mwa wanamuziki wanaoitambulisha Tanzania kimataifa, 
Kupitia ukurasa wake wa Instagram mwanadada Vee Money amethibitisha kuwa against na kauli hiyo hapo juu kwa kupost picha ambayo caption yake inaonyesha kuwa Vanessa na  mrembo Jihan Dimack wana ukaribu.

Vanessa Mdee pia aliitumia nafasi hiyo kumueleza Jihan anaemjua kuanzia siku ya kwanza walipokutana  maeneo ya Mikocheni Dar Es Salaam" Jihan Dimack  aliwahi kuwania taji la Miss na sasa Tanzania anaiwakilisha Tanzania kwenye mashindano ya Miss Universe World.

Powered by Blogger.