Ujumbe Wa Shamsa Ford Kwa Mumewe Chidi Mapenzi Anayesherehekea Birthday Yake Leo (Jan. 20)


Rashidi Saidi a.k.a Chidi Mapenzi leo (Jan. 20) anasherehekea siku yake ya kuzaliwa akiwa ameongeza mwaka mwingine.

Kama ilivyo ada kwa mtu kupata pongezi kutoka kwa watu mbalimbali katika siku special kama hii, miongoni mwa pongezi nyingi alizopokea Chidi Mpenzi ni pamoja na ya mkewe ‘mke wake’Shamsa Ford, ambaye ameamua kumwandikia ujumbe mtamu na kushare na followers wake.

Huu ndio ujumbe wa Shamsa kwa Chidi Mapenzi aliopost kwenye ukurasa wake wa Instagram.


Ujumbe huo ulisomeka hivi “Kuna watu wakiingia kwenye maisha yako, hauwezi kujuta badala yake unaongezeka nakuwa BORA. Namshukuru MUNGU kwaajili yako, umekua rafiki, mshauri, mume bora,na msaada kwangu,nimekuwa bora kwenye maeneo MENGI. Am proud of you mume wangu kipenzi.NIMEPENDELEWA NA MUNGU kunipa mtu wa aina yako,nakupenda na nitakupenda siku zote,wewe ni Baraka kwangu.Happy birthday Baba shamsa. Mungu azidi kukulinda na kukufungulia mirango yote ya riziki. HAPPY BIRTHDAY MY ME”

Post a Comment
Powered by Blogger.