Alicia Keys Asherehekea Siku Ya Kuzaliwa Kwa Style Ya Kanye.


Tangu mwaka 2001 aliporelease "Songs in A Minor" Albamu amabyo ilimuweka mwanamama huyu sehemu nzuri kwenye historia ya muziki wake, Alicia Keys ameendelea kuwa miongoni mwa wanawake wanaofanya makamuzi ya kutosha kunako Industry pengine mazingira ya kimuziki anaoyoishi yanamfanya Alicia Keys aendelee kufanya vizuri, 

Jana 25, January ilikua siku ya kuzaliwa kwake na katika moja ya ahadi kwa mashabiki wake ilikua ni kuwapa ngoma kama zawadi kwenye siku yake hiyo muhimu.

Hii Hapa Inaitwa "That's What's Up" ambayo Alicia Keys amei-sample kutoka kwenye "Low Lights" Ya Kanye West.

Isikilize Hapa:
  DOWNLOAD AUDIO:
Powered by Blogger.