Video | Dr. Jose Chameleone Kwenye Sweet Banana


Unaambiwa hii "Sweet Banana" ya Chameleone ndio ngoma inayosumbua ma-air waves za Uganda, Kuanzia Radioni, Bar na Night Clubs imekuwa ndio ngoma inayopigwa sana kuliko ngoma nyingine kipande hicho cha Ug.

 Sasa Baada Ya Audio yake kufanya vizuri Jose Chameleone ameamua kuidropisha kabisa na video yake:

 ENJOY NAYO HAPA: 


Powered by Blogger.