Shante Ferooz - Pulalah (African Taste) | OFFICIAL MUSIC VIDEO

Shante Ferooz ni Msanii kutoka nchini  Uganda na kwa mara ya kwanza mwaka hu Shante Ferooz anakuangushia video mpya sana ambayo inakwenda kwa jina la   Pulalah (African Taste). Audio ilifanywa na Producer Maaruufu sana kutoka nchini Uganda ambaye anajulikana kama Herbert Skillz.
Cheki Video na usisahau kusambaza.

DOWNLOAD

Post a Comment
Powered by Blogger.