Orodha Ya Washindi Tuzo Za CAF Zilizotolewa Jana Nchini Nigeria
 1. Tuzo Ya Timu Bora Ya Mwaka Imechukuliwa na Uganda. 

2. Tuzo Ya Timu Bora Ya Wanake Imeenda Nigeria

3. Klabu bora ya mwaka tuzo imechukuliwa na Sundowns ya Afrika Kusini.
 
4. Tuzo ya mchezaji mwenye kipaji imeenda kwa Kelechi Ihenacho wa (Nigeria na Man City)

5. Mchezaji mwenye umri mdogo ametajwa ni Alex Iwobi (Nigeria na Arsenal)

6. Kocha bora wa mwaka ni Pitso Mosimane ( Mamelodi Sundowns)

7.Mchezaji bora wa kike ni Asisat Oshoala (Nigeria) pia anakipiga klabu ya Arsenal ya wanawake.

8. Refarii (mchezeshaji) wa mwaka ni Bakari Papa Gassama (Gambia)

9. Tuzo ya heshima imeenda kwa Laurent Pokou mchezaji wa Zamani wa Ivory Coast na Emilienne Mbango wa Cameroon

10. Tuzo ya mchezaji wa Ndani ya Afrika imeenda kwa
Denis ONYANGO (Uganda & Mamelodi Sundowns) – Mshindi wa kwanza
Khama BILLIAT (Zimbabwe & Mamelodi Sundowns) – 2Mshindi wa pili
Rainford KALABA (Zambia & TP Mazembe) –Mshindi wa tatu

11.

12. Rais Muhammad Buhari wa Nigeria amepewa Tuzo ya Platinum

13. Mchezaji bora wa Afrika

Riyad MAHREZ (Algeria & Leicester City) Mshindi wa Kwanza
Pierre-Emerick AUBAMEYANG (Gabon & Borussia Dortmund) Mshindi wa pili
Sadio MANE (Senegal & Liverpool) – Mshindi wa tatu
Post a Comment
Powered by Blogger.