Confirmed | Ice Prince Aungana Na Vanessa Mdee Kuikamilisha Hii

Kutoka kwenye albamu yake "Just To The World" Rapa Mnigeria Ice Prince Zamani ameaichia kama Video "No Mind Em" kama video  ya kwanza kutoka kwenye albamu hiyo.

"Just To The World" ni albamu ya nne ya Ice Prince, ina jumla ya ngoma 18 ikiwemo hii "No Mind Em" ambayo Vanessa Mdee amepata shavu kwenye ngoma hiyo.

Enjoy Nayo Hapa: 


VANESSA MDEE KUZITOSA KOLABO ZA MAREKANI:


Powered by Blogger.