DOWNLOAD: Marioo - Moyo Sukuma Damu (Refix)

Dec 23, 2016 muimbaji Lameck Ditto aliipa uhai hitsong "Moyo Sukuma Damu" Wimbo ambao umewavutia wengi na kujibebea umaarufu ndani ya muda mfupi.

 Sasa hii ni Refix ya "Moyo Sukuma Damu" imefanywa na Dogo anaekuja kwa kasi kwenye game, Muite Marioo.

Isikilize hapa halafu tuambie unampa ngapi katika mia?

 DOWNLOAD HAPA:

https://my.notjustok.com/track/download/id/172711

  Lameck Ditto - Moyo Sukuma damu (Official Video) 

Post a Comment
Powered by Blogger.