Bilnass Tayari Amedropisha Video Ya Mazoea


Baada ya Chafu Pozi kumaliza muda wake kama Latest Song ya BillNass Mazoea ambayo ameungana na Mwana FA imekuja tena kusumbua air waves za mashabiki wa marapa hao wawili.

 Leo kwenye kipindi cha XXL wakati akiitambulisha Audio yake Bilnass, Aliahidi kuachia Video ambayo haijawahi kutokea.
 "Baada ya nusu saa videom ambayo haijawahi kutokea itakuwa tayari ipo mtandaoni," Alisema Bilnass.

  Baada ya kuwapa fans nafsi ya kusikiliza vizuri mdundo huo ambao mpaka hivi sasa ni homa ya jiji, hatimaye Bilnass ametimiza ahadi yake,
 Chukua sekunde 263 kukiangalia kichupa cha Mazoea , Ni Dope....DOWNLOAD AUDIO
Post a Comment
Powered by Blogger.