Madee Afunguka Juu Ya Watu Wanaoshangaa Don Jazzy Kupost Chura Ya Snura….


Rapa kutoka Tiptop Connection Madee ameonekana kushangaa kwa wale ambao wanaonekana kushangazwa na kitendo cha Don Jazzy kupost video akionekana anaimba wimbo wa Snura unaoitwa Chura.

Madee kupitia akaunti yake ya Instagram ameandika "Hivi ni ajabu sana Don jaz kuimba nyimbo ya snura eeh.. mbona km bado tunajichukulia poa!!! mara ngap tunaimba na kucheza nyimbo zao!!

 Screen Shot 2017-01-31 at 1.09.54 PM
Powered by Blogger.