Lamar Odom Ameondoka Rehab Na Hizi Ndizo Kauli Zake Za Kwanza.


Masaa machache tu baada ya kutoka Rehab alipokua akipatiwa matibabu baada ya kuathiriwa na madawa  mtandao wa TMZ ulimdaka mume wa zamani wa Khloe Kardashian Lamar Odom na kufanya naye mahojiano,

 Moja ya vitu Lamar alizungumzia ni kuhusu mabadiliko yake ikiwemo mienendo mipya na upigaji kazi wa nguvu.
 
 Mshikaji ameonekana yuko freshi kuanzia kimuonekano mpaka uongeaji,  Lamar ametangaza ujio wa show ya maisha yake kwenye TV siku za usoni.

 Alipoulizwa kuhusu familia na wakwe zake wa zamani (The Kardashians) na aliekua  mke wake Khloe,  jamaa amesema kila kitu kitaenda poa.

 Msikilize Hapa:


Post a Comment
Powered by Blogger.