Jose Chameleone – Sweet Banana (Official Music Video)


Mkongwe wa muziki kutoka nchini Uganda, Dr Jose Chameleone ameachia video mpya wimbo unaitwa “Sweet Banana”, tazama hapa chini.

 Enjoy..


Mbali na hilo pia Mkongwe huyo kutoka Uganda Dk.Jose Chameleone, mbali ya kuwa na utajiri wakupindukia, lakini bado amedhihirisha kuwa ndoto yake haijatimia ya kuongeza ukwasi wake.

Mnamo mwaka jana (2016)  kupitia mtandao maarufu wa kijamii wa Instagram alidokeza kidogo kupitia ukurasa wake kwa kuweka kipande cha video kilichoonesha bidhaa hiyo huku akiandika XOS Chameleone 2017 #SmartPhone Yuh ready???.

So tuwe tayari kwa hili mwaka huu.Powered by Blogger.