Joh Makini - WAYA (Official Music Video)Rapa kutoka kaskazini Joh Makini mwenyewe anajiita Mwamba, leo jumatano ya Januari 25 ameachia  "WAYA"  Ngoma  yake  ya kwanza kabisa kwa mwaka huu 2017.Masaa machache baada ya utambulisho wa Audio yake redioni na kwenye mitandao hii ni Official video ambayo tayari Joh Makini ameshaiachia mtandaoni.Enjoy Nayo Hapa:DOWNLOAD WAYA AUDIO
Powered by Blogger.