Janet Jackson Ajifungua Mtoto Wa Kiume, Eissa


Hatimaye Janet Jackson amejifungua mtoto wa kiume. Mwanamuziki huyo pamoja na mume wake Wissam Al Mana wamepata mtoto huyo waliyempa jina Eissa, mtoto huyo wa kiume amepewa jina la asili ya kiarabu kutoka na Baba yake kuitwa  Al Manna, kwa mujibu wa tovuti ya People.“Janet Jackson and husband Wissam Al Mana are thrilled to welcome their new son Eissa Al Mana into the world,” mwakilishi aliiambia tovuti hiyo.

Mwakilishi huyo amedai kuwa Janet mwenye miaka 50, anaendelea vyema baada ya kujifungua. Mashabiki walikuwa wakisubiri kwa hamu kuzaliwa kwa mtoto huyo tangu Janet atangaze kuwa mjamzito, May mwaka jana.Melody Mbassa - Nikukoleze (Official Music Video)


Post a Comment
Powered by Blogger.