Miss Elliot Kaamua Kuvunja Ukimya, Hapa Anakuambia "I'm Better"


Mwishoni mwa mwaka 2015 "Where They From" (WTF) ambayo alimpa shavu mnyamwezi Pharrel Williams, 

Sasa baada ya ukimya mrefu Miss Eliot ametoa shavu jingine kwa rapa Lamb na wanakuambia "Im Better" Wanapokuambia wako Better inabidi ukae chini uwasikilize vizuri halafu tuachie Comments zako.


 CHEKI HII VIDEO YAO HAPA CHINI: 


Powered by Blogger.