Huu Hapa Ujumbe Wa Fid Q Baada Ya Kauli Hii Ya Nay Wa Mitego


Baada ya kauli ya Nay wa Mitego, Fid Q nae amuandikia ujumbe. ‘Sijiwezi’ ndio wimbo wake Rapper Nay wa Mitego ambao sasa unafanya vyema katika vyombo vya habari ndani na nje ya nchi.

Mapema jana kupitia kituo cha Ea Radio katika kipindi cha Planet Bongo Nay wa Mitego alisema “Huwa nakasirika nikiona mtu anamfananisha  Fid Q na rappers wengine wepesi kama mimi sipendi kabisa".

Baada ya kauli hiyo ya Nay, Fid Q hakusita kuweka hisia zake katika mtandao Instagram ambapo aliandika


“Wewe sio mwepesi kaka Nay True Boy so yawezekana na wao wakawa na vigezo flani special vinavyowapelekea wadau kunilinganisha au hata kunipima nao.. yote na yote.. ubarikiwe sana na asante sana kwa #LoveYaHelaYote"
Post a Comment
Powered by Blogger.