Wewe Ni Shabiki Wa Tekno Au Davido?, Usikubali Kupitwa Na Hii


Kama ni mfuatiliaji mzuri wa muziki wetu wa Afrika bila shaka nikiitaja "Holiday" ya Tekno ambayo alimpa shavu Davido haitakua ngeni masikioni mwako.  

Haikufanya vizurin sana kama ilivyo leo Mtanzania akiachia ngoma ndani ya muda mfupi inakua African Anthem.

Kama Haukuwahi Kuipata Holiday Cheki Nayo Hapo Chini: 

https://my.notjustok.com/track/download/id/172777 
Miaka minne imepita tangu uhai wa ngoma hiyo uliohalalishwa na Producer mnigeria GospelOnDeBeatz, 

wawili hao ( Tekno Na Davido)  wameamua kuungana tena kuwaletea mashabiki wao muziki mwingine huku safari hii wakija na style tofauti na waliyoitumia mwanzo.

Wote tunamfahamu Tekno kama mwanamuziki anaeimba pamoja na kufanya ngoma kama Producer, 

 Sasa unaambiwa jamaa wanafanya ngoma ambayo Tekno amesimama kama Producer huku Davido akicheza na lyrics...
Hiyo ni post ya Davido inayoashiria ujio wa ngoma yake mpya (Inayofuata) kutengenezwa na Tekno.
"Next Single Produced By Thiss Nigga" Caption ya Davido kwenye moja ya post zake.
 
 Ukiachana na hiyo Tekno ametangaza hits song kibao ikiwemo Panya ya Bracket Show ya Victoria Kimani.

 ANGALIA HOLIDAY VIDEO ILIYOFANYWA NA DIR. MR MOE MUSSA:
Post a Comment
Powered by Blogger.