Hii Hapa Orodha Ya Wasanii Na Filamu Zinazowania Tuzo za Oscar 2017


Tuzo za OSCARS ni kati ya tuzo zenye heshima kubwa duniani, na mtaani huwa wanasema kama movie haijatajwa hata kwenye kuwania tu tuzo hii ni jibu tosha kwamba bado haijafikia viwango vya kimataifa, sasa tukiachia hayo January 24, 2017 waandaaji wa tuzo hizo wametangaza list ya mastaa na movie zinazowania tuzo hii.

Majina ya wanaowania tuzo hizi zikiwa ni msimu wake wa 89 yametangazwa, movie ya La La Land iliyotoka Disemba mwaka 2016 iweke rekodi katika tuzo za Oscar za mwaka huu baada ya kutajwa katika vipengele 14 tofauti tofauti. Filamu hiyo inafuatiwa na Arrival iliyotajwa katika vipengele 8.

Tuzo hizi pia hujumuisha mastaa wa muziki wanaocheza movie na kuandika ngoma zinazotumika kama soundtrack za movie au series ambapo Mastaa waliotajwa kuwania tuzo hizo ni pamoja na Jennifer Hudson, Brie Larson, Emmanuel Lubezki, Jason Reitman na Ken Watanabe.

 

Sherehe za utoaji tuzo hizi zitafanyika kwenye ukumbi wa Dolby Theatre ulioko Hollywood mnamo February 26, 2017 na zitaongozwa na mshereheshaji Jimmy Kimmel. hii ni mara ya kwanza kwa MC huyu kuhost tuzo za Oscars, japokuwa ameshahost tuzo kubwa ikiwemo mwaka 2012 na 2016 alikuwa host wa Emmy Awards.

Hii hapa orodha ya filamu zilizotajwa katika vipengele vingi zaidi katika tuzo za mwaka huu

 • La La Land – 14
 • Arrival – 8
 • Moonlight – 8
 • Hacksaw Ridge – 6
 • Lion – 6
 • Manchester by the Sea – 6
 • Fences – 4
 • Hell or High Water – 4

Orodha kamili wa filamu na wasanii wanaowani tuzo za Oscar mwaka 2017

Best costume design

 • Allied
 • Fantastic Beasts and Where to Find Them
 • Florence Foster Jenkins
 • Jackie
 • La La Land

Best animated short

 • Blind Vaysha
 • Borrowed Time
 • Pear Cider and Cigarettes
 • Pearl
 • Piper

 Best cinematography

 • Arrival
 • La La Land
 • Lion
 • Moonlight
 • Silence

Best picture

 • Arrival
 • Fences
 • Hacksaw Ridge
 • Hell Or High Water
 • Hidden Figures
 • La La Land
 • Lion
 • Manchester By The Sea
 • Moonlight

Best director

 • Denis Villeneuve (Arrival)
 • Mel Gibson (Hacksaw Ridge)
 • Damien Chazelle (La La Land)
 • Kenneth Lonergan (Manchester By The Sea)
 • Barry Jenkins (Moonlight)

Best actress

 • Isabelle Huppert (Elle)
 • Ruth Negga (Loving)
 • Natalie Portman (Jackie)
 • Emma Stone (La La Land)
 • Meryl Streep (Florence Foster Jenkins)

Best supporting actress

 • Viola Davis (Fences)
 • Naomie Harris (Moonlight)
 • Nicole Kidman (Lion)
 • Octavia Spencer (Hidden Figures)
 • Michelle Williams (Manchester By The Sea)

Best animated feature

 • Kubo and the Two Strings
 • Moana
 • My Life as a Zucchini
 • The Red Turtle
 • Zootopia

Best song

 • La La Land – Audition
 • La La Land – City of Stars
 • Moana – How Far I’ll Go
 • Jim: The James Foley Story – The Empty Chair
 • Trolls – Can’t Stop the Feeling

Best foreign film

 • A Man Called Ove (Sweden)
 • Land of Mine (Denmark)
 • The Salesman (Iran)
 • Tanna (Australia)
 • Toni Erdmann (Germany)

Best actor

 • Casey Affleck (Manchester By The Sea)
 • Andrew Garfield (Hacksaw Ridge)
 • Ryan Gosling (La La Land)
 • Viggo Mortensen (Captain Fantastic)
 • Denzel Washington (Fences)

Best supporting actor

 • Mahershala Ali (Moonlight)
 • Jeff Bridges (Hell Or High Water)
 • Lucas Hedges (Manchester By The Sea)
 • Dev Patel (Lion)
 • Michael Shannon (Nocturnal Animals)
Powered by Blogger.