Haya Ndiyo Majibu Ya Kwanini?pierre-eric Aubameyang Alivaa Kofia Na T-shirt Kwenye Tuzo Za Caf


Mchezaji wa Timu ya Taifa ya Gabon na Straika wa timu ya Borrusia Dortmund alikuwa ni moja ya washiriki wa Tuzo ya mchezaji Bora wa Afrika.

Kitu cha kushangaza ni kwamba kwenye sherehe hizo Aubameyang ameingia akiwa amevalia Kofia na T-shirt kitu ambacho wengi walishangaa sana kwani sio kawaida kwenye sherehe hizo za Tuzo kubwa na za heshima Barani Afrika.

Sasa jibu ni kwamba Wahudumu wa shirika la ndege la Lufthansa wali’missplace Begi lake ambalo lilikuwa na Suti yake na vitu vingine vyote muhimu.Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika “That moment when you just arrive for the ceremony of african player of the year and they lost our baggage!! so that’s how we dress tonight thanks Lufthansa #Abuja#nigeria #africanplayeroftheyear #glocaf#aubameyang #whataday #cantbelieveit

Post a Comment
Powered by Blogger.