Hatimae Young D Airejesha Akaunti Yake Ya Instagram, Huu Hapa Ujumbe Kutoka Kwake


Young D ameweza kuitumia tena akaunti yake ya Instagram. Hiyo ni baada ya kuwa hacked na mtu asiyefahamika kwa siku kadhaa mfululizo na kufuta kila kitu!

Mbaya zaidi mtu huyo aliigeuza akaunti hiyo kuwa ya Mipasho, ambapo aliita Bongo Mipasho Official.
Good newz kutoka kwa Young D ni kwamba, kupitia ukurasa wake wa Instagram baada ya kurudisha Akaunti hiyo, ameweza  kupost post yake ya kwanza ikiwa na ujumbe huu.
Ujumbe huo ulisomeka hivi "I got my account back!!! Sijui hata nianzie wapi kuwashukuru, You guys are more than fans, you are family to me now... Account nisingeipata bila support yenu!!! I Thank God for giving me the strength to Stand Positive! Thank you guys for supporting my me and my music!!! Thanks to the Media Supporting my Music!!! Bila Support yenu kiukweli sijui, only God knows. Shukran za dhati ziende kwa kila mmoja wenu!!! #YoungDaddyIsBack #GodBlessThisHustle"
Post a Comment
Powered by Blogger.