Harmonize Ndio Basi Tenaa! Wolper Atumia Instagram Kusema 'It Over Sasa'


Wasahau tena Jacqueline Wolper na Harmonize aka ‘WoHa’ama vyovyote ulivyokuwa ukiwaita pamoja.

Hii yote ni kwasababu Wolper amembwaga rasmi hitmaker huyo wa Bado tena kupitia Instagram. Hata hivyo post hiyo haikuweza kukaa kwa muda mrefu – imefutwa, japo wapo waliowahi kuinasa mapema.


Kwenye post hiyo iliyokuwa na picha ya Harmonize pamoja na emoji za alama ya kopa iliyopasuka, Wolper ameandika: Nina akili timamu me syo mtoto mdogo, endelea na maisha yako it over waambie rasmi usifiche @harmonize_tz i hate love.”


Photo credit- Bongo5

 
Post a Comment
Powered by Blogger.