Hanscana Aweka Wazi Mbinu Anazozitumia Kuzidi Kuwa Director Bora


Kwa dunia inavyoenda siku hizi, huwezi kuwa msanii mkali kama hauna video kali inayonogesha umaridadi wa wimbo wako.

Kwa hapa Bongo, jina la Hanscana limekuwa maarufu sana kwa kutengeneza video kali za wasanii mbalimbali.


Mkali huyo wa kamera ameshafanya kazi na wasanii kama Darassa, Diamond Platnumz, Vanessa Mdee na wengine kibao. Inawezekana una hamu kubwa ya kufahamu mbinu anazozitumia Hanscana ili kuzidi kuwa Director mkali na bora zaidi..

Akipiga story na Dizzim Online, Hanscana alisema "Ni juhudi tu.. juhudi, nidhamu na kukaza sana, hizo ndizo mbinu rahisi za mimi kufanikiwa,"
Post a Comment
Powered by Blogger.