Download | Linex – Kiherehere (Audio)

Mkali mwenye vocal la kipekee kwenye tasnia ya Bongo Fleva Linex Sunday Mjeda amedropisha ngoma yake mpya leo hii ambayo kaipachika jina la "Kiherehere".

Production ya Kiherehere imefanywa na Mr T-Touch.

Enjoy..


https://my.notjustok.com/track/download/id/31823 
 
Powered by Blogger.