Download | AY Ft. Nyashinski - More & More (Audio)


Baada ya ngoma yake Zigo Remix kufanya poa kinoma Africa hadi kuweza kukwarua tuzo kimataifa, A.Y amedropisha ngoma yake nyingine akiwa na Nyashinski, ambae ni msanii kutoka 254, Kenya.

Ngoma hiyo inaitwa More & More, ikiwa produced by Drey Beatz Studios & Hermy B.

Enjoy.. 


https://my.notjustok.com/track/download/id/31823 

Post a Comment
Powered by Blogger.