Diamond Platnumz Aungana Na Wasanii Hawa Kutumbuiza Kwenye Ugawaji Wa Tuzo za CAFSuper Star kutoka Tanzania, Diamond Platnumz ataungana na wasanii wengine wakubwa kutoka Afrika kutumbuiza kwenye Jukwaa la Ugawaji wa Tuzo za CAF, ambazo zitafanyika Alhamis hii ya Tarehe 5 huko Abuja nchini Nigeria.

Image result for diamond platnumz and yemi alade

Diamond ataungana na wasanii kama Yemi Alade,Mr Flavour na DJ maarufu DJ Jimmy Jatt wote kutoka Nigeria na wote ameshawahi kufanya nao kazi isipokuwa DJ Jimmy Jatt.

Wasanii wengine ni Muffinz kutoka Afrika Kusini,Tuzo hizo zitaruka live kuanzia saa 12 jioni saa za Afrika Mashariki hadi saa 4 usiku kupitia Supersport Channel 4 (204), SS 9 (209) ana kupitia GOTV.Melody Mbassa - Nikukoleze (Official Video)

Post a Comment
Powered by Blogger.