Diamond Platnumz Ashinda Tuzo ya NET Honours ‘Most Searched Personality Across Africa’ Nchini NigeriaJana usiku nchini Nigeria kulikuwa na sherehe za ugawaji wa Tuzo za NET Honours People’s Choice Awards 2016.

Tuzo ambazo zinaangalia zaidi wasanii waliotafutwa zaidi mitandaoni.

net-honours-diamond-platnumz

Kwa upande wa Tanzania tulikuwa na mwakilishi mmoja Diamond Platnumz na yeye ndiye aliyeibuka kidedea kwa kunyakua Tuzo hiyo kupitia kipengele cha ‘Most Searched Personality Across Africa 2016′ .

Pongezi sana kwa Diamond Platnumz, hakika amestahili kunyakua Tuzo hiyo.
Post a Comment
Powered by Blogger.