Dayna Nyange Ft Billnass - Komela (Official Music Video)


Dayna Nyange na Billnass wameamua kuianzisha wikiend yao kwa kuachia video ya wimbo wa Komela, audio ya wimbo huu imefanywa na Mr T  Touch kipindi hicho akiwa studio ya Freenation Sound.

Video imeongozwa na Director Ivan.

Enjoy..


Powered by Blogger.