Chukua Hii "Way You Are (King Zoo) " Ya FettyWap na Monty

FettyWap ameungana tena  na mshikaji wakuitwa Monty kwenye hii ngoma "Way You Are" collabo ambayo sio ya kwanza, Wakali hawa wanazo hits zaidi ya ishirini ambazo wamefanya pamoja.
Kwa sasa enjoy nayo hii mpya ambayo wameiachia Januari 04,2017.https://www.audiomack.com/song/rhymehiphopcom/way-you-are-king-zoo

Melody Mbassa - Nikukoleze (Official Music Video)
Post a Comment
Powered by Blogger.