Angalia Hii Video Ya Young Thug Ilivyotengenezwa Kimaajabu

August 26, 2016 mnyamwezi Young Thug aliingiza sokoni album yake Jeffery ikiwa na jumla ya ngoma zipatazo kumi.
 Kwa kuanza Young Thug ameachia video ya kwanza kutoka kwenye albunm hiyo huku ngoma "Wycleaf Jean" ikipata chance ya uzinduzi huo.
 
Huenda ikawa ni video ngumu ambayo sikuwahi kuiona kwani unaambiwa Ryaan Staake ambaye ni Director wa hii video hakuwahi kuonana na Young Thugg uso kwa uso katika kipindi chote cha utengenezaji wa video hii.
 Young Thugg alikua akiwasiliana na mshikaji na kumpa Idea zake kuanzia wahusika location mpaka vifaa ambavyo alivitaka vionekane kwenye video yake.

Miezi miwili baadae Young Thugg Alituma Shots zake alizofanya kivyake na hapo ndipo video hii ilipoanzia hadi kukufikia.

ICHEKI HAPA:

\
Post a Comment
Powered by Blogger.