Isikilize "500 WAYZ" Ya Chris Brown Na Young Lo X Young Blacc


Baada ya kukaa kwenye gumzo kwa takribani wiki nzima kufuatia kile kilichoitwa ugomvi wake na rapa Souljaboy inasemekana Chris Brown ameamua kudropisha rapsong "500 WAYZ" aliyowashirikisha washikaji Young Lo na Young Blacc.
 Enjoy nayo hapa:

Post a Comment
Powered by Blogger.