YouTube Yafungia Akaunti Ya Televisheni Ya Korea Kaskazini

 Mwezi Januari mtandao huo ulikuwa ukitangaza habari za majario ya mabomu ya nuklia.
Mtandao wa video wa YouTube umefunga akaunti ya mtandoa huo inayotumiwa na shirika la habari la Televisheni la Korea Kaskazini.

Ujumbe unaoonekana kwenye akaunti hiyo unasema kuwa umefungwa kwa kukiuka kanuni za YouTube.

Akaunti hiyo hutumiwa kutangaza matukio ya kila siku.

Mwezi Januari mtandao huo ulikuwa ukitangaza habari za majario ya mabomu ya nuklia.
 Mwezi Januari mtandao huo ulikuwa ukitangaza habari za majario ya mabomu ya nuklia.

Ripoti zinasema kuwa sababu kuu ya kufungwa akaunti hiyo ni kuwa Korea Kaskazini ilikuw ikipata malipo ya biashara kupitia akaunti hiyo ambayo inaweza kukiuka vikwazo vya Marekani.

Kwa mujibu wa gazeti la Washington Post, akaunti hiyo ilifungwa mwezi uliopita na mtandoa wa Google ili kuzuia kukiuka vikwazo.

 Akaunti ya televisheni ya Korean Kaskazini iliyofungwaAkaunti ya televisheni ya Korean Kaskazini iliyofungwa

Google haitamki lolote kuhusu hatua hiyo lakini hata hivuo imesema kuwa hufunga mitandao ambayo hukiuka kanuni za mtandao wa YouTube wakati inahitajika kufanya hivyo kisheria.

Mwezi Januari mtandao huo ulikuwa ukitangaza habari za majario ya mabomu ya nuklia.
Post a Comment
Powered by Blogger.