Wolper aonyesha hisia zake kwa Harmonize juu ya post hii


Hivi karibuni kumekua na story kibao zikisambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu couple ya Wolper na Harmonize.

Kama ilivyokua mwanzo au kutuzoesha sisi tunao wafatilia, ilikua sio ajabu kuona Wolper kampost Harmonize au Harmonize kampost Wolper, utaratibu huo ulidumu kwa muda lakini ghafla siku za hivi karibuni ikawa kimya.

Mashabiki walianza kuhisi huenda mastaa hawa wameachana au wanamgogoro wa kimapenzi kwa vile kuona tofauti na walivyo tuzoesha kuwaona wanachofanya kupitia kurasa zao za Instagram.

Hatimae Wolper kaanza na kasi ile ile, kupitia ukurasa wake wa Instagram kapost picha za Harmonize mbili mfululizo huku ikionyesha wazi bado wako mapenzini kutokana na caption zinavyosomeka.

A photo posted by Jacqueline Wolper (@wolperstylish) on

A photo posted by Jacqueline Wolper (@wolperstylish) on
Post a Comment
Powered by Blogger.