Hiki Ndicho Cheo Jackline Wolper Amempa Shilole

Leo December 20 Bongoflava na Bongo Movie kwa pamoja wanasherehekea siku ya kuzaliwa malkia kutoka Igunga, Tabora hapa namzungumzia Zuwena Mohamed A.K.A ShishiBaby.

  Mastaa kibao na watu wa kawaida wametumia mitandao ya kijamii kumtakia Shilole kila lililo la kheri kwenye siku yake muhimu,

 Salaam za muigizaji Jackline Wolper zimekuja  na sifa kibao huku zikiwa zimeambatana na vyeo kadhaa lakini kimoja kikipewa kipaumbele.
Soma hapa chini alichokiandika Mama Raj kwenda kwa Shishi.
 
Kwa kile ambacho tunaweza kukitafsri kama utani Wolper ameamua kumpa muigizaji mwenzako cheo hicho labda kwa sababu ya Shishi kupata zali la kuchorwa Tattoo na baadhi ya wapenzi wake anaokua nao.


Utafurahi Ukiona Hii Ya Shilole Akifundishwa Kuongea Kiingereza:


Post a Comment
Powered by Blogger.