Wizkid Na Justine Skye Wamwagana! Sio Wapenzi Tena

 
Waswahili wanasema Mafahali wawili hawakai zizi moja, Msanii kutoka Nigeria Wizkid wiki iliyopita kwenye ukurasa wake wa Instagram alikuwa bize kwa ku-post picha za mwanae tu huku akiweka makopa kopa kuashiria anampenda sana mtoto wake kuliko mtu yeyote yule.

Image result for justine skye and wizkid

Sasa kwa uchunguzi wangu wa kibabe ni kwamba Wizkid na Girlfriend wake mrembo Justine Skye kutoka Marekani ambae nae ni msanii wa muziki na yupo chini ya Lebo ya Roc Nation huenda wamemwagana rasmi.

Mrembo huyo kupitia ukurasa wake wa Twitter alitoa ya moyoni kwa kueleza hisia zake kwa kudai alimpa moyo wake wote Wizkid lakini imeshindikana kulilinda penzi lake hivyo anaamini haikuwa bahati yake ku-hang na Star huyo.

whatsapp-image-2016-12-21-at-02-12-47


whatsapp-image-2016-12-21-at-02-13-40

whatsapp-image-2016-12-21-at-02-11-32

 Hata hivyo mrembo huyo mwezi uliopita aliachia Video ya single yake ya You Don’t Know ambayo amemshirikisha Wizkid unaweza ukatazama video hiyo hapa chini.

Post a Comment
Powered by Blogger.