Viva Brain Ft. Juma Nature - Nakuhitaji (Official Music Video)

The One & Only wakuitwa Viva Brain, ni underground anaefanya poa nakusumbua katika baadhi ya redio mbalimbali hapa Tz.

Viva Brain anakukaribisha kulitupia macho chupa lake jipya ikiwa amemshirikisha makali wa Bongo Fleva, Juma Nature.

Ngoma inaitwa "Nakuhitaji" ikiwa Audio imekuwa produced by Neighbours Records na chupa limekuwa Directed by Pablo.

Sanuka  nalo hapa...


Post a Comment
Powered by Blogger.